Thursday, 10 July 2014

Barabara za  Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro kuanza kujengwa kwa kiwango cha lami kuanzia mwaka wa fedha. Hizi ni juhudi na umoja kati ya Baraza la Madiwani linaloongozwa na Mstahiki Meya Mh. Amiri J. Nondo na Mkurugenzi wa Manispaa na timu yake ya watendaji. Nia na madhumuni ni kuhakikisha wananchi na wakazi wa Morogoro wanapata huduma iliyobora na kuipelekea Manispaa kuwa jiji.


No comments:

Post a Comment