AFYA

Picha Na 1 Ni Jengo la Hospitali Ya Wilaya Linalojengwa katika kata ya Kihonda na Mzinga Holding Company,Chini ya usimamizi wa Baraza la Madiwani likiongozwa na Mstahiki Meya Mhe. Amir J. Nondo.Picha Na 2 na 3 ni Wahe. Madiwani na Wakuu wa Idara wa Manispaa Morogoro wakiwa katika ziara ya ukaguzi wa Hospitali hiyo tar 15/04/2014.

No comments:

Post a Comment