Mstahiki Meya wa Manispaa ya Morogoro Mh. Amiri J. Nondo akimtambulisha Diwani mpya Mh. Deogratius P. Mzeru kutoka Chama cha Mapinduzi (CCM) aliyeshinda kiti cha Udiwani kata ya Tungi kutokana na kifo cha aliyekuwa diwani wa kata hiyo. Mh. Mzeru alishinda nafasi hiyo kwa kishindo kwa kuwashinda wapinzani wake kutoka vyama vingine kwa tofauti ya kura nyingi.

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Morogoro Mh. Amiri J. Nondo akiwa na waheshimiwa madiwani na wakuu wa idara wakikagua ujenzi wa Hosipitali ya Wilaya inayojengwa kata ya Kihonda.
No comments:
Post a Comment