Wednesday, 23 July 2014

Mhe. Mstahiki Meya na wajumbe wa kamati ya fedha na wakuu wa idara wakikagua ujenzi wa barabara unaoendelea katika mtaa wa Kingo mkoani Morogoro.

1 comment:

  1. Hongera sana mheshiniwa,tunaona utendaji wako wa kitaifa..

    ReplyDelete